Thursday, April 12, 2012

Usiwe Muhanga Wa "Low Budget" Movies . . .

Yaani am more than happy coz hii ni post yangu ya kwanza kuiweka humu ndani toka nilipoamua na mimi kuiingia kwenye ulimwengu wa 'blogging'. Well, humu ndani ntakuwa naongelea sana kuhusu movies, series na wakati mwingine awards zinazohusiana na movies au series.
Now, najua we all love movies made in Hollywood coz nyingi zinakuwa na quality in terms of  Picture, Sound, Story, Effects yaani kila kitu. lakini zipo movie ambazo wakati mwingine quality hizo nilozozitaja hazina. Nikisema  'low budget i dont specifically mean bajeti ndogo kwenye utengenezaji (zo kwa kiswahili cha haraka haraka hiyo ndo tafsiri yake). Hapa ntakuwa nazungumzia zile movie ambazo zina completely opposite qualities ya hizo nilizozitaja hapo juu.

Kiashiria kikubwa cha kwamba movie itakuwa 'low budget' ni nani ameitengeneza na nani ameisambaza. Pale movie inapoaanza kama HUTOONA majina ya hizi kampuni hapa chini basi jua hizo ndo 'low budget' zenyewe and dont waste your time on them.

1. Paramount Pictures
2. Warner Bros
3. Walt Disney
4. 20th Century Fox
5. Universal
6.Columbia Pictures (wanamilikiwa na sony)

Hao ndo wenzetu kule wanawaita Big 6. Ukiona movie yoyote imeanza afu majina hayo yapo thats the movie to watch. Lakini pia zipo kampuni nyingine ambazo kule wanaziita 'mini-major companies', hawa ni:

7. LionsGate
8. Dreamworks
9. Summit
10. New Line Cinema
11. Sreen Gems
12. Imagine
Hawa nao wako poa sana hakikisha ukiona majina yao mwanzoni usikose kuzicheki.
Now kuna studio nyingine bwana me naonaga kama wanabeep, wanaweza kutoa movie kali leo kesho ikawa mbaya ila since sometime wanjitahidi nawaweka kwenye List C, ukiona movie yao jaribu walau kuforward kidogo kujua nani starring, storyboard ipoje, kama kuna effects za ukweli, ukijua hayo then movie inaweza kuwa nzuri.

13. Touchstone
14. Miramax
15. MGM
16.Regency.

All in all kila mtu ana namna yake anavopenda movie, ila kwangu mimi siwezi na haitokuja kutokea nkaangalia a 'low budget' movie. its just waste of time . Hope by now na wewe mwenzangu hutoingia tena kwenye mkenge.

Later, Amigos . . .

No comments:

Post a Comment