Tuesday, May 15, 2012

Canceled Series This Year

Hakuna kitu kanachouma kama umeanza kuangalia series fulani afu ndo inazidi kunoga then unakuja kuambiwa baang imekuwa cancelled. Lakini kwanini series zinakuwa cancelled? simple and quick answer ni kuwa watu wameacha kuangalia hivyo makampuni yanacha kutangaza bidhaa zao during comercial break. Wenzetu wana system ya kujua ni watu wangapi walitune on their Tv once the episode was aired. Next time ntakuja na article ya kuelezea how does this works ila kwa leo hizi ndo series ambazo zimekuwa cancelled mwaka huu so mwakani hazitokuja tena na nyingine ndo mwisho wake umefika . .

CANCELLED.

  1.  Alcatraz (We will never know how those inmates and guards disappeared (after 1 season) )
  2.  Awake (after 1 season)
  3.  Charles's Angel ( after just 8 episodes)
  4.  Chuck ( Ends After 5 seasons)
  5.  CSI; Miami (Ends after 10 yrs on air)
  6.  Desperate Housewives ( Ends after 8 seasons, last episode airs May 20th)
  7.  The Finder (after 1 season)
  8.  The Firm ( after 1 season)
  9.  Hawthrone ( Ends after 3 seasons)
  10.  House ( Ends after 8 seasons, last episode airs May 21st)
  11.  Hung ( Ends after 3 seasons)
  12.  Kendra ( Ends after 4 seasons)
  13.  Men Of A Certain Age
  14.  Missing ( after 1 season final episode on May 17th)
  15.  One Tree Hill ( Ends after 9 seasons)
  16.  Terra Nova ( Though it has record of the most expensive Pilot ever created but ends after 1 season)
  17.  Ringer ( after 1 season)
  18.  The River ( after 1 season)
  19.  The secret circle (after 1 season)
  20.  The Nine Lives Of Chloe King (after 1 season)
  21.  The Closer ( Ends after 7 seasons)








































































2 comments:

  1. nice work boy keep it up coz wengine huwa hatufuatilii kabisa haya mambo huwa tunachojua ni 'don't mic to watch' basi

    ReplyDelete