Mara nyingi tunapenda kudownload movie kwenye Torrents lakini kitu kimoja wengi ambacho hawakijui it takes time until the clean copy of that movie its out. Kwa marekani haya makampuni yanayotengeneza movie baada ya kurelease movie kwenye theaters it takes them 6 up to 8 weeks mpaka kurelease DVD version ya hiyo movie. Now usiwe muhanga tena wa kudownload kitu afu unakuta copy ni mbaya kiasi cha kwamba hata picha haionekani vizuri . .
GOOD COPY
Ukiwa unataka movie yoyote hakikisha UNADOWNLOAD kama imeandikwa haya kwenye jina la movie;-
DVDRip (copy inakuwa safi both picture and sound and size ni ndogo pia)
R5 (copy inakuwa clean pia ila sound kidogo quality siyo nzuri sana na size pia inakuwa ndogo pia)
DVDScreen, ( Both sound and picture zipo in good quality sema kidogo size ipo kubwa)
BluRay ( both sound and picture zipo clean kichizi very clean like HD ila size ndo inakuwa kubwa sana)
Note kitu hapa ukikuta movie yoyote imeishiwa na neno Rip (BDRip, HDRip, DVDRip) those are GOOD COPY
BAD COPY
Okey movie ikitoka kule kwa wenzetu kitu cha kwanza ni inazinduliwa kwenye kumbi za sinema kwanza coz huko ndipo wanapopata faida . . It takes time hata zaidi ya miezi mitatu mpaka DVD version yake kutoka. So ukiona movie imeishiwa na hizi USIDOWNLOAD:-
CAM ( worst copy ever both sauti na picha coz wengi wanakuwa wameshoot kutoka theater)
TS (nayo copy inakuwa mbaya kweli yaani full giza)
XVid (hii kidogo picha inaweza kuwa nzuri ila giza bado lipo na utaona watu wakipitapita coz ni ya theater)
So wadau hata kama movie tunahamu nayo vipi ni bora kwenda tu kuangalia theater au kusubiri copy nzuri yake itoke. Now you know . .
Laters Amigos
I dont agree bout XVid coz copy zake huwa nzuri sound and picture, very rare ndio huwa inakuwa as you eplained hapo juu
ReplyDeletei agree with you kaka ila like i said, haziwi as clean as a Rip version. in that sense, out of 10 XVid naipa 4
ReplyDelete