Kuna sites nyingi sana ambazo ziko maalum kwaajili ya kudownload movies, series, music na vitu kama hivyo. Ila mimi kama mimi napenda kutumia zile zenye torrents. Kumbuka kwamba kabla hujaanza kutumia link hizi ni muhimu uwe na software ya Utorrents au Vuze katika mashine yako. . . (just google them zitakupa direct link ya hizo softwares) . .
Now hizi ndo my fav websites nazotumia kudownload movies . .
1. www.kickasstorrents.com au kat.ph
2. www.thepiratesbay.org
In those two you will be able to get anything you want from; movies, series, music, music videos, books, app, games you name it . .
3. www.tormovies.org
Naipenda sana hii coz yenyewe inatoa movie zilizo clean copy tuu. Hakuna movie hata moja inayowekwa humu afu copy yake chafu.
4. www.tubeplus.me
Hii ni maalumu kwa wale ambao wanataka kuangalia movie au series online. Tubeplus.me basi inakufaa. Lakini pia kama hauna zile program za kudownload movie (utorrents and vuze) unaweza kutumia Internet Download Manager (IDM) kudownload movies kwa kutumia hii site. Once ukiplay tuu movie yako au episode ya a certain series, IDM will catch it and start downloading. .
Do visit them am sure you will thank me later. . .
laters amigos . . .
No comments:
Post a Comment