Tuesday, June 5, 2012

Jinsi Gani Tv Shows zinavokuwa Cancelled . . .




We all have our favourite tv shows iwe ni reality show au series. Lakini inakuaje sasa mpaka unakuja kusikia series baada ya episode kadhaa tuu (mf' Charles's Angel) inakuwa cancelled. Au wakati mwingine after just 1 season imekuwa cancelled. .
Well, wenzetu wanayo system ya kuweza kujua ni idadi ya watu wangapi walitune tv zao on wakati kipindi fulani kinaonyeshwa. Thanks to Nielsen Media Research. Founded mwaka 1920 lakini ni mpaka 1950's ndipo bwana Arthur Nielsen na kampuni yake ya Nielsen Company walipohamia kwenye Tv na kuweza kuestablish a system that enable them to know the Ratings za show mbalimbali. . .




HOW IT WORKS
Kuna njia mbili ambazo zinatumika hapa
i) Traditional Method (Viewer's Diaries)
Hapa kunakuwa na selected group ya watu katika society ambao wamekubaliana na masharti ya hii kampuni ambapo hujaza form maalum ya ni kipindi gani waliangalia na katika mda gani. Zoezi hili hujazwa na mtazamaji kila siku na kila wakati anapowasha tv yake.

ii) Modern Method (Set Meters)
Hii njia ipo more technological zaidi. Set Meters ni device maalum ambayo inawekwa katika tv ambapo hutuma report kule katika kampuni ya hawa Nielsen na huwawezesha kujua mda gani Tv imewashwa au kuzimwa, na ni kipindi gani kinachoangaliwa mda huo.

ADVERTISEMENTS
System hizi mbili zimeiwezesha Nielsen kuweza kuaminika sana na makampuni mbalimbali kwani inakadiriwa kuwa nchini marekani kuna watu zaidi ya milioni 115 wenye tv majumbani kwao. ikumbukwe kua, Advertisements ndizo zinazofanya show iendelee. Pale ambapo watu wengi waangalia kipindi fulani ndipo makampuni mengi nayo yatalipa hela nyingi ili kutangaza matangazo yao. Mwaka 2007/8 kuweka tangazo lako wakati Grey's Anatomy inaonyeshwa inabidi kulipa $419,000 kwa tangazo. Wakati tangazo moja during break wakati Glee inaonyeshwa mwaka 2009/10 unalipia $272,964.

CRITISM
Pamoja na yote hayo bado system ya Nielsen Rating imekuwa ikipondwa kwa jinsi inavofanya kazi. System yake ya Viewers's Diaries imeonekana kama wakati mwingine viewers wamekuwa waongo. Ni rahisi kwa mtu kudanganya kuwa aliangalia kipindi fulani wakati kumbe alikuwa amebanwa na mambo mengine. Ila kwa vile anakipenda kile kipindi atadanganya ili kisije kutoswa.
Lakini pia Set Meters method imeonekana kama haiko fair kwani ni only 25000 people out of 115mil ndio ambao device hizi zimewekwa.

Ili kujua zaidi kuhusu hii system unaweza kutembelea www.wikipedia.org/nielsenratings

Laters amigos . . .

No comments:

Post a Comment